Visit Website

Jinsi ya Ku-Activate Windows 11 bure Bila Kutumia Programu

Jinsi ya Ku-Activate Windows 11 Bila Kutumia Programu | jinsi ya kuactivate window cmd | powershell bure | window 7 | 8 | 10 | 11| kuactivate window

Jinsi ya Ku-Activate Windows 11 Bila Kutumia Programu

Jinsi ya Ku-Activate Windows 11 Bila Kutumia Programu


Ikiwa unatumia mfumo wa Windows na unataka kuhamia Windows 11 bila kulipia, basi makala hii ni kwa ajili yako. Tutakuonyesha njia rahisi ya ku-activate Windows 11 bila kutumia programu yoyote.

Kabla ya Kuanza:

  • Hakikisha tayari umeinstall Windows 11 kwenye kompyuta yako.
  • Ikiwa bado hujafanya hivyo, unaweza kufuata mwongozo wetu wa jinsi ya kusanikisha Windows 11 hatua kwa hatua.

Hatua za Ku-Activate Windows 11

1. Nakili Code ya Activation

Bofya hapa chini kisha nakili (copy) code zote zilizo kwenye highliter hapo chini. Ni muhimu kuhakikisha unanakili kila kitu bila kukosea namba yoyote.

copy code below
irm https://get.activated.win | iex


2. Ingia kwenye computer yako kisha nenda kwenye search bar (sehemu ya kusearch)

Jinsi ya Ku-Activate Windows 11 Bila Kutumia Programu

  • search kwa kuandika powershell
  • kisha utaifungua na itakuwa na muonekano kama huu hapo chini.
Jinsi ya Ku-Activate Windows 11 Bila Kutumia Programu

Related Posts
  • baada ya kufunguka kama hapo juu uta paste code ulizocopy hapo juu awali.
  • Baada ya kupaste utabonyeza enter
  • utaiacha iload files kisha itafungua new window cmd kama hapo chini kwenye picha

3. chagua option ya kwanza kwa kubonyeza (1)

Kama window yako itakuwa activated tayari itakuonesha window kama hii picha inavyoonekana hapo chini 
window 11 is arleady permanently activated
> [1] Activate anyway [0] Go back :
Jinsi ya Ku-Activate Windows 11 Bila Kutumia Programu

Kwahiyo kama window yako itakuwa activated itaonesha hizo chaguzi hapo juu ukibonyeza itaendelea kufanya activation hata kama ipo tayari activated, na ukibonyeza itarudi nyuma kwenye menu iliyopita
 
Kwa ambao hazijakuwa activated ita-check info moja kwa moja kama inayoonesha kwenye picha hapo chini na kufanya activation ya window yako.
Jinsi ya Ku-Activate Windows 11 Bila Kutumia Programu

    baada ya kufikia hatua hii utasubiri kwa sekunde kadhaa kisha window yako itakuwa activated. Na hapo utakuwa umeweza kufanikisha kufanya activation ya window yako bure kabisa bila gharama yoyote.

    Kumbuka!
    Restart computer yako kisha window 11 itakuwa tayari activated

    4. Hakikisha Windows 11 Ime-Activate

    Baada ya mchakato kukamilika:

    1. Fungua Settings > System > Activation.
    2. Angalia ikiwa Windows 11 imewashwa kikamilifu.

    Tahadhari!
    Njia hii inahitaji uelewa wa msingi wa kompyuta. Ikiwa hujui jinsi ya kuendesha faili za mfumo, ni vyema kutafuta msaada.

    Kwa maujanja zaidi ya teknolojia, tembelea tovuti ya Elimufix Tech kila siku! 🚀

    Hii ni version safi na inayovutia zaidi kusoma. Ungependa nyongeza yoyote tuachie comment hapo chini na utuambie unapenda kujifunza nini zaidi.

    Post a Comment

    Visit Website
    Visit Website